carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
#let'emgo#
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongereni bhana.
Sie huku joto liko linafanya extra hours sijui limekopa lile joto la mwakani maana daaah!!!
Shukran sana,Hongereni bhana.
Sie huku joto liko linafanya extra hours sijui limekopa lile joto la mwakani maana daaah!!!
Mimi mzima wa afya hofu kwakoNjema malkia wa nguvu consuela, habari ya uzima wako
Itapendeza sana ikitokea [emoji123]
ETERNAL CRUSH [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Carba[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 965016
Mapenzi ni kama uteja, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kahawa itasaidia
Carba[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 965016
artist aliyechora hii pic yupo vzrCarba[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 965016
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ETERNAL CRUSH [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
I was looking where to put that word
Hawawezi kupita mwalimu Ancelot yupo vizuri, sanaGame itakuwa ya aina yake hii,,tuombe hvyo wapite aisee
Hii picha hii...
artist aliyechora hii pic yupo vzr
Nipo hapa hapa, mateso niyapatayo ni zaidi kupata kitambulisho cha uraia.Natumai hauko jijini hapa,huku hali mbaya[emoji23][emoji23]
Mimi nina uzima na furaha DaimaMimi mzima wa afya hofu kwako