Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hapana moja
Mzee kwemaYalinikuta juzi, nilijilipua na Kvant.... Muda wa kulala uliishia kwenye friji na chooni kuoga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Zimefika japo nae anakusoma laivu
Brand - Long Distance
Ahsante sana. Msalimie shemeji yako ukimuona.Kuna sehemu nilimuona mchana, akakusifia, eti wewe ni mpole sana na usiye na maneno mengi...Usiku mwema baba[emoji112][emoji112][emoji112][emoji125][emoji125][emoji125]
Ahsante sana. Msalimie shemeji yako ukimuona.Kuna sehemu nilimuona mchana, akakusifia, eti wewe ni mpole sana na usiye na maneno mengi...
Sikuamini yaaniView attachment 965057
Brand - lonely brokenhearted [emoji22][emoji22][emoji22]Brand-mr piano man
Kwema ndugu yangu. Habari za Vingunguti?Mzee kwema
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwema ndugu yangu. Habari za Vingunguti?
Kuna sehemu nimekuona unaongelea "NGUVU" nikataka nihoji unaongelea NGUVU za aina gani ila nimepotezea
Usiniambie kwenye ile biashara ya supu ya... naye anakuwepo?!!! Ngoja nimhoji mama Juniya[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bora ulivyoniacha mzee wa kazi maana ungenitoa kwenye reli, tunavuruga tu mada za watu hatuna lolote
Vingunguti muulize carbamazepine
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bora ulivyoniacha mzee wa kazi maana ungenitoa kwenye reli, tunavuruga tu mada za watu hatuna lolote
Vingunguti muulize carbamazepine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani tunaendaga wote vingunguti??
We muelekeze mzee Andjul maswali Baadae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani tunaendaga wote vingunguti??
Carba alivyokuaga mdogo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Carba[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 965016