[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu mida hii jijini Mbeya hali ya hewa ni nzuri sana, iko poa kabisa, kajipumzishe huko mkuu. Huu moto wa Dar unatesaNipo hapa hapa, mateso niyapatayo ni zaidi kupata kitambulisho cha uraia.
Jamaa hapo kushoto ni maarufu sana pale Lumumba/Narung'ombe st Kariakoo akipiga pamba zake za aina hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bradha nasubiri suruali yangu ujue?[emoji23][emoji23]View attachment 965052
Ulizengua vipimo ujue ππππ.Bradha nasubiri suruali yangu ujue?[emoji23][emoji23]View attachment 965052
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwema ndugu yangu. Habari za Vingunguti?
Kuna sehemu nimekuona unaongelea "NGUVU" nikataka nihoji unaongelea NGUVU za aina gani ila nimepotezea
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bora ulivyoniacha mzee wa kazi maana ungenitoa kwenye reli, tunavuruga tu mada za watu hatuna lolote
Vingunguti muulize carbamazepine
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] supu ya pweza[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Usiniambie kwenye ile biashara ya supu ya... naye anakuwepo?!!! Ngoja nimhoji mama Juniya
πππKumbishia mwanaume kwetu ni mwiko. We nidanganye tu nitaelewa, nyie mtalaumiana hukoooo