myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe afya na uzima..
Maisha ni mtazamo wa mtu, vile unavyoyaona ndani ya nafsi yako ndivyo yalivyo. Ukiyaona magumu yatakuwa magumu kweli kweli, ukiyaona ya kawaida yatakuwa kawaida, ukiyaona ni fursa yatakusukuma kufanya mambo makubwa zaidi yatayokusogeza mbele kimaendeleo. Uskariri Njia ya kupita, njia zipo nyingi sana tena nzuri sana ukizielewa endapo utazitazama kwa jicho la tatu. Usijiwekee mipaka kwenye maarifa ya utaftaji.
we mtoto hujambo???Maisha ni mtazamo wa mtu, vile unavyoyaona ndani ya nafsi yako ndivyo yalivyo. Ukiyaona magumu yatakuwa magumu kweli kweli, ukiyaona ya kawaida yatakuwa kawaida, ukiyaona ni fursa yatakusukuma kufanya mambo makubwa zaidi yatayokusogeza mbele kimaendeleo. Uskariri Njia ya kupita, njia zipo nyingi sana tena nzuri sana ukizielewa endapo utazitazama kwa jicho la tatu. Usijiwekee mipaka kwenye maarifa ya utaftaji.
Yawezekana wewe ni Tai sio kuku, lakini mazingira uliyoyakuta, jamii unayo interact nayo mara kwa mara inakutengeneza uendelee kujiona kuku. But kiuhalisia wewe ni Tai. Chagua moja paa angani uingie msituni waliko Tai wenzio ukatafute nzige idadi utakayo ili ushibe au baki zizi la kuku uletewe pumba kwa kipimo hata kama kidogo.
Kundulee wewe*Kupiga kelele wakati wa kufanya mpenzi haikufanyi uonekane mke bora Tulia upewe mimba kelele utapiga wakat wa kuzaa nyani wewe* [emoji53]🧐
Waaaaow dogo langu la ukweli,ulipotelea wapi?we mtoto hujambo???
Nilikuhamu zari, si ww ulinitengaWaaaaow dogo langu la ukweli,ulipotelea wapi?
Marahabaaa
Nilikuhamu zari, si ww ulinitenga
Hahaaaaaaaaaaaa Happy birthday kwanza kwa kutimiza miaka miwili JF dogo langu, (mm mkubwa wako nilijiunga siku 11 kabla yako) najua hakuna aliyekuwish... endelea kuyakoga tuBasi tangu uliposepa nipo huru sana kumkandia domo weeuwee huwa naoga mapovu ya maana ila sikomi
Hahahahaha ndo maana nakupendaga mondray upo vizuri kwa kukumbuka,wabheja gete getee. Mmmh mwanawane nani ataniwishi wakati nakera kila dakika sipitishi bila kuchokoza watuHahaaaaaaaaaaaa Happy birthday kwanza kwa kutimiza miaka miwili JF dogo langu, (mm mkubwa wako nilijiunga siku 11 kabla yako) najua hakuna aliyekuwish... endelea kuyakoga tu