Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Penda unachokifanya itakusaidia sana Kupata mrejesho unaokutia moyo, kuendelea kufanya makubwa zaidi. Usipotafuta pesa ya mtaji wa kuanzia biashara Leo, jiandae kutafuta pesa kwa ajiri ya kulipa madeni kesho sababu hautokuwa na chanzo cha maana cha kukuingizia kipato zaidi ya kukopa. Nguvu utayoitumia kutafuta pesa ya kulipa madeni always inakuwa kubwa zaidi ya hile nguvu unayoitumia kutafuta mtaji wa biashara. Chagua moja Kati ya hivyo vitu viwili Leo Kati ya kupambania mtaji au kupambania madeni, hauwezi kukwepa hayo,,,,,, think💪
 
Kama unataka kuonekana Kama wewe ni kichwa sana, mchapa kazi Sana Fanya biashara peke yako. Lakini Kama unataka kufika mbali kibiashara unahitaji kushirikiana na watu wengine. Biashara inayokutegemea wewe uwepo wako kwa 100% mara nyingi inaishia njiani, na haina future biashara ya mtu huyo sababu ya competition , mtaji mdogo na pia sio siku zote wewe utakuwa vizuri kiafya au Changamoto zingine za kimaisha au majukum utashindwa kusimama kwenye biashara na inachukuwa muda mrefu mno kuona mwanga. Kuna mazingira mtu binafsi hawezi kupenya, lazima awe na system ya watu anaoshirikiana nao.Mchunguze mtu yeyote aliyefika mbali kibiashara iwe ya huduma au bidhaa au music nk. utagundua kuwa alianza peke yake kisha akatengeneza team ya kushirikiana nayo. kuwa na team katika biashara yako inakuhitaji uwe na mtaji mkubwa sana, kitu ambacho kwa Kijana wa kawaida inakuwa ngumu kuwa na team ya biashara, mwisho wa siku mtu anaishia kufanya biashara ya Kupata hela ya kula tu. Lakini kutokana na kukua kwa sector hii ya biashara Kuna mfumo wa biashara unaokuruhusu wewe kutengeneza team yako ya biashara kwa mtaji wa kawaida ambao kwa mtu mwenye maisha ya kawanda anaweza kuupata, kwa sababu ataingia mkataba wa kufanya Biashara na kampuni yenye brand kubwa kibiashara. But exposure hiyo wengi hawafaham kiundani, wanaiskia juu juu tu, nakushauri ifuatilie ili ufaham Vzur. PARTNERSHIP.
 
Usipoamua kuanza project yako, hata Kidogo Kidogo itakuwa ngumu sana kutimiza malengo ya muda mrefu, miezi itaisha, Miaka itaisha, the same person. Think about business idea, mtaani watu wanahitaji solutions Zako ili ziwasaidie kutatua Changamoto zao. Fikiria namna ya kutatua Changamoto Kwanza pesa zitafuata mkondo wake
 
The way you think, the way you grow.Either positive or negative growth.Be an asset, but not a liability. Investors can invest in you if you Go extra miles, beyond ordinary parameters. In spite of your educational certificates, do you have anything extra to offer?? Naturally, Investors need extra things. Upgrade your status,,,
 
Badili mtazamo, hamisha nguvu na akili hiyo hiyo unayoitumia kwenye mambo ya ovyo yanayochochea MATUMIZI, Ipeleke nguvu hiyo kwenye mambo ya msingi yanayochochea UZALISHAJI. Change attitude. Nguvu unayoitumia kumshawishi mtu usiyemjua ili akukubalie kimahusiano, itumie nguvu hiyo hiyo, jitihada hizo hizo kutafuta na kuwashawishi wateja wanunue bidhaa yako na wanunue kwako siku zote wasikuache. Muda unaoutumia kuchati na wapenzi mitandaoni mara kwa Mara, utumie muda huo ku-close deal na wateja wako wa mtandaoni ili uzalishe pesa.Nguvu unayoitumia kubembeleza Mwenza asikuache tumia nguvu hiyo kuwabembeleza wateja wasiache kununua kwako. Your lifestyle is a full package of business requirements
 
Tonge moja halishibishi hata kama likaongezwa ukubwa. Tonge la kumegewa halifanani na tonge la kumega mwenyewe kwani unamega size ya tonge kulingana na njaa yako ilivyo, ukiongeza speed ya kula matonge zaidi ya moja hata kama madogo madogo automatically tumbo litashiba.Bahari haijazwi na mto mmoja hata Kama huo mto unaingiza maji mengi kiasi gan. Usitafute chuma ulete anayekuibia Ongeza mfereji uone zinakoelekea.
 
Back
Top Bottom