Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yawezekana wewe ni Tai sio kuku, lakini mazingira uliyoyakuta, jamii unayo interact nayo mara kwa mara inakutengeneza uendelee kujiona kuku. But kiuhalisia wewe ni Tai. Chagua moja paa angani uingie msituni waliko Tai wenzio ukatafute nzige idadi utakayo ili ushibe au baki zizi la kuku uletewe pumba kwa kipimo hata kama kidogo.
 
Maisha ni mtazamo wa mtu, vile unavyoyaona ndani ya nafsi yako ndivyo yalivyo. Ukiyaona magumu yatakuwa magumu kweli kweli, ukiyaona ya kawaida yatakuwa kawaida, ukiyaona ni fursa yatakusukuma kufanya mambo makubwa zaidi yatayokusogeza mbele kimaendeleo. Uskariri Njia ya kupita, njia zipo nyingi sana tena nzuri sana ukizielewa endapo utazitazama kwa jicho la tatu. Usijiwekee mipaka kwenye maarifa ya utaftaji.
 
Umenena hakika
 
we mtoto hujambo???
 
True but it needs courage
 
Awesome umeniruhusu ee ngoja aharibu leo au kesho ntaweka makazi ndani ya uzi husika
Hahaaaaaaaaaaaa Happy birthday kwanza kwa kutimiza miaka miwili JF dogo langu, (mm mkubwa wako nilijiunga siku 11 kabla yako) najua hakuna aliyekuwish... endelea kuyakoga tu
Hahahahaha ndo maana nakupendaga mondray upo vizuri kwa kukumbuka,wabheja gete getee. Mmmh mwanawane nani ataniwishi wakati nakera kila dakika sipitishi bila kuchokoza watu
 
Kijana sasa ni muda wa kutumia muda wako vizuri kufikiri mambo mengine zaidi, kufikiri namna ya kukamilisha project yako, kufikiri namna ya kuongeza mauzo kwenye biashara yako. Mapenzi yasikupotezee muda wa kuandaa Maisha ya baadae. Vijana huwa tunajisahau Sana kipengele cha mahusiano yasiyo na kichwa wala miguu. Kijana Umiza kichwa sababu ya biashara Sio mapenzi yasiyo rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…