Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

aisee...
Baada ya mchezo huo ambao bao la Mohamed Salah liliipa Liverpool ushindi wa 1-0, Klopp alimtania kipa huyo kutoka Brazil akimwabia angejua kuwa yupo fiti kwa kiwango hicho angeongeza hela wakati wa usajili.

Alisson anayeshikilia rekodi ya kipa ghali katika Ligi Kuu England alinunuliwa na kiangazi cha mwaka huu kwa Pauni 65 milioni kutoka AS Roma ya Italia na amethibitisha umuhimu na thamani yake.
 
?utm_source=ig_share_sheet&igshid=1at8i7ifhesfk.jpg
 
Back
Top Bottom