Thread closed kwa leoView attachment 967483
Hahahaha wewHahahahahah hapo tumuulize mzee wa liver atatuambia maana yake
Historia ndefu sana ngumu kuielezea jua tu bao moja au tano ni sawa na mteremko wa kona ya bwiru
Acha tulime mkuu [emoji23][emoji23]Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] lima tu mkuu
Aisee,,kumbe majani yanawahi kuzeesha mkuuAmzealiwa jan 17 1966 St Anna Kingston Jamaica, kwahiyo ana miaka 52 tu.
Ila huyu jamaa anakula sana majani kama ilivyo kawaida ya wajamaka wengi, kwahiyo anazeeka angali mdogo
Teh[emoji23] [emoji23]
And sweet dreams[emoji23][emoji23]It was all about sleeping! Have a good sleep! [emoji1][emoji1]
Na wenye usalama... .... ...Usiku wa raha
Nawe piaUsiku mwema!!!
Inadaiwa majani yanazeesha ngozi na kama ujuavyo binadamu anaanza.kuzeeka ngozi yakeAisee,,kumbe majani yanawahi kuzeesha mkuu