Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mume anamuonya mkewe: Haya mambo ya kubadilisha wadada wa kazi kila mara utakuja kutuuwa na magonjwa 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika 1. UGALI NA KUNDE Mwitaji : 🗣Joniiiii Mwitikiaji : Eeeh Mwitaji : Uje ukule 2. UGALI NA SAMAKI Mwitaji: 🗣 we Joniiii Mwitikiaji : Eeeh Mwitaji : Unaitwa na Mama 3. WALI NA NYAMA/KUKU Mwitaji: 🗣 Joniiii Mwitikiaji : Eeeh Mwitaji : Shauri yako! 😂😂😂😂😂😂
 
Jamaa alikuwa amelaa na mkewe saa tisa ya usiku akastuka baada ya kusikia mtu anabisha hodi kwenda kufungua mlango Akamkuta jamaa kalewa sana mlangoni kwao JAMAA: Nini tena mheshimiwa kuamshana saa hizi? MLEVI: Naomba uje unisukume. Jamaa akiamini kuwa pengine kuna gari la huyu mlevi limezima jirani akamwambia subiri nikavae viatu. Baada ya kuvaa viatu akatoka na wakaanza kusindikizana na mlevi. Mlevi akaongoza njia mpaka kwenye mabembea ya jirani akakaa kwenye bembea moja na kumgeukia jamaa na kumwambia.. Okay nisukume basi.
 
Maisha yetu ni kama mti wa matunda. Kuna wakati unapukutisha majani, kuna wakati unakuwa na maua, wakati mwingine unakuwa na matunda mengi yenye kuvutia, wakati mwingine matunda yanaisha kabisa. Usijichukie uwapo kati ya kipindi kimojawapo. Usihukumu maisha yako kwasababu ya kosa moja! Au kwasababu ya magumu ya wakati mmoja, vumilia kipindi cha matunda kinakuja.
 
Hamna kitu kinauma kama ukiachana na mpenz wako afu unamwombea afulie akukumbuke ndo kwanza unamuona anazidi kunawiri anapendeza kuliko alivyokuwa na ww😂😂ndugu yangu unaweza badili njia ukimuona mbele yako,ndo utaukumbuka ule msemo wa mateso bila chuki...na status zake bora usiangalie yan kila anachopost utahisi huyu ananiringishia
 
Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana; MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi? MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuangalia kila mtu? MKAKA: Samahani sana….jamaa akachukua Galaxy yake akapiga simu….aise saa ngapi saa hizi? mi ndio nimeingia toka USA nataka kurekibisha saa yangu ifwate muda wa huku. Na wewe uwahi kuchukua iPad nimekuja nazo tatu tu za zawadi. Halafu ntafutie mtoto mzuri nimumwagie midola niliyokuja nayo, ok ciao tuonane badae. MDADA: Kaka samahani saa hizi ni saa….. MKAKA: Achana na mimi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…