Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukichanganya maji ya limao vijiko vitatu, unga wa muhogo nusu kijiko cha chai, maganda ya karanga mbichi zile nyekundu, majivu ya ndizi mshale zilizochomwa, mafuta ya mkia wa kondoo, unga wa njiti za viberiti, robo kikombe cha mkia wa pweza, na tui la nazi, unavyosoma kwa makini sasa..... mi hata sijui ukichanganya unapata nini, we endeleatu kuchanganya .
 
Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason. Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!" Jason: "Ndio mkuu!" Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason.. Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol" Dokta: "Safi sana na wapili?" Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl" Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je? Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume! Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?" Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"
 
Majina ya kukwepa kuitikia Msimu huu wa krismasi na Mwaka Mpya: Ukisikia mtu kakuita hivi, usiitike na usijaribu ku-smile hata kidogo, utakuja kinishukuru baadae!! 1. Mkubwa 2. Tajiri wangu 3. Boss wangu 4. Kiongozi 5. Mkurugenzi 6. Manager 7. Chief 8. Brigedia General 9. Honey 10. Dear nikuambie kitu..? 11.Mutu Ya Nguvuu 12.Mzee 13.Patroo 14. Kaka mukubwaaaaaa 😂😂😂😂 Bro Kimbia tena kama hiyo 9 na 10 usigeuke hata nyuma!!
 
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TOFAUTI YA UKOPAJI, MZUNGU NA MSWAHILI: MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaali… mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa nimekwama kweli. Naweza pata 'Laki Moja' ya karibu hapo nitarudisha mwisho wa mwezi…?
 
Jamaa alikuwa amelaa na mkewe saa tisa ya usiku akastuka baada ya kusikia mtu anabisha hodi kwenda kufungua mlango Akamkuta jamaa kalewa sana mlangoni kwao JAMAA: Nini tena mheshimiwa kuamshana saa hizi? MLEVI: Naomba uje unisukume. Jamaa akiamini kuwa pengine kuna gari la huyu mlevi limezima jirani akamwambia subiri nikavae viatu. Baada ya kuvaa viatu akatoka na wakaanza kusindikizana na mlevi. Mlevi akaongoza njia mpaka kwenye mabembea ya jirani akakaa kwenye bembea moja na kumgeukia jamaa na kumwambia.. Okay nisukume basi.
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
FB_IMG_1544811328831.jpeg
 
Back
Top Bottom