Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatua za ndoa yenye furaha.

Binti atataka aonane na rafiki yake kila mara. Muhimu suala la "kuduana" lisiongelewe
39327c52bef5856d419f95f1f877d988.jpeg
 
Mani yuu na Yanga zimenisababishia niuchukie mpira. Sitaki kabisa kuangalia live. Zaidi ya dakika tisini ni kuminya tu makende... Ahhh
Hahahahahahah yaan anko na lugha zako hahaha watu tutapaliwa. Yanga nshaipotezea kabisa huwa naibuka kukiwa na ushindi tu ila man u siangaliag live mechi zake zaidi ya kupata matokeo humu JF na huko mtandaon
 
Back
Top Bottom