Mungu ni mwema ndugu yangu. Kwema?Hahah! hakika mkuu....
Heshima yako ndugu yangu
Amin. Azidi kutulindaWeekend mpaka sasa iko vizuri namshukuru Mungu
Kwema kabisa mkuu, vp hapo nyumbani wazima?Mungu ni mwema ndugu yangu. Kwema?
Wote ni wazima. Hili joto la mkopo ndo linatutesa sana.Kwema kabisa mkuu, vp hapo nyumbani wazima?
Ndio msingi wa maisha yenye furahaIshi vizuri na watu
Kuna joto kali sana mkuu wangu ata sisi tunaishi kwa msaada wa viyoyozi na feni tu.Wote ni wazima. Hili joto la mkopo ndo linatutesa sana.
Karibu sana
jamaa kwapa nyeusi
watabeJames Vs JamesView attachment 968273
jamaa kwapa hajanyoa[emoji2]