Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mani yuu na Yanga zimenisababishia niuchukie mpira. Sitaki kabisa kuangalia live. Zaidi ya dakika tisini ni kuminya tu makende... Ahhh
Hahahahahahah yaan anko na lugha zako hahaha watu tutapaliwa. Yanga nshaipotezea kabisa huwa naibuka kukiwa na ushindi tu ila man u siangaliag live mechi zake zaidi ya kupata matokeo humu JF na huko mtandaon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…