myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ha ha ha hali ya hewa leo shwar kabsa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Matokeo yameongeza joto hapa Dar[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ha ha ha hali ya hewa leo shwar kabsa
Kweli..ASIKWAMBIE mtu wanasoka wa Kiafrika wamelishika soka la dunia. Huko Ulaya kwa sasa kila kona ni Mohamed Salah. Huko kwenye kikosi cha Arsenal, huwaambii kitu kuhusu Pierre-Emerick Aubameyang kama ilivyo kwa Sadio Mane na Naby Keita kwenye kikosi cha Liverpool na Riyad Mahrez katika chama la Manchester City.