Na wema je Farkhina?
Sio ndio ivo wema hauozi.
Mie nimemalizia kuna msemo unasema ivi .
Al birru la yabla,wadhanbu la yuunsa.
Tafsiri:wema hauozi Na ubaya hausahauliki.
Na wema je Farkhina?
Sio ndio ivo wema hauozi.
Mie nimemalizia kuna msemo unasema ivi .
Al birru la yabla,wadhanbu la yuunsa.
Tafsiri:wema hauozi Na ubaya hausahauliki.
Shukrani sana.
Kwema mkuu?
Habar za masiku