Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

?utm_source=ig_share_sheet&igshid=wiy0unrjfkwu.jpg
 
KIUNGO wa zamani aliyetamba na klabu ya Sevilla, Arsenal na Manchester City, Samir Nasri ambaye kwa sasa ni mchezaji huru anayefanya mazoezi na klabu Westham ametakiwa kupunguza kilo 11 kujiweka katika nafasi ya kusajiliwa msimu ujao na klabu hiyo.
 
Jinsi ya kubaini uzito uliokithiri na unene

Ili kubaini uzito mkubwa au uliokithiri kuna njia ya kimahesababu ambayo hutumika kukokotoa ili kubaini hali ya uzito wa mwili.

Kikokotozi hicho kijulikanacho kitabibu kama Body Mass Index (BMI) ndiyo njia inayoweza kubaini uzito wa mwili au kwa kwa maneno mengine ni mrundikano wa mafuta mwilini.
 
Njia hii hutumia uzito wa mwili na urefu wa mwili kukokotoa kwa kutafuta zao la mgawanyo wa uzito katika kilogramu na urefu katika mita kipeuo cha pili.

Kwa kawaida unene uliokithiri huanza na uzito uliopitiliza na kisha kuelekea katika unene na hapo baadaye hufuata unene uliokithiri ambao huanishwa kama tatizo la kiafya.
 
Back
Top Bottom