capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Aisee poti ni safi sikukuu hii nitakuwa Nansio
Hii ni app,,una install kwenye simu ni kama ilivyo terrarium tvApp/Site.?
Ni kwa ajiri ya torrents au.?
Ni kwel bro,,majukwa mengi tumekutanaNi poa Bro, nimekutana na wewe majukwa mengi sana! Isipokua moja tu~
I guess tunashare more many interests!
Okay, Copy.!Hii ni app,,una install kwenye simu ni kama ilivyo terrarium tv
Nitakutagi nikiona jambo ninaloweza kukushirikisha.Ni kwel bro,,majukwa mengi tumekutana
Vipo tunavyoshare,,
Ni wapi huko hatujakutana,,maana umesema isipokuwa moja tu
Ha ha ha poa poa broNitakutagi nikiona jambo ninaloweza kukushirikisha.
I like Strong Shoulder
Coincidence...hata mimi nimeipenda hiyoI like Strong Shoulder
Teh! Haya maana naona tumekuwa walinzi leoH ah ah
Basi tulale.
Teh! Haya maana naona tumekuwa walinzi leo
Nawe piaWatu skuizi wanalala mapema sana hapa.
Uwe na usiku mwema, Consuela.