Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nahodha wa zamani wa Manchester United, Roy Keane alidai kuna wachezaji ambao hawana ubora wa kuichezea timu hiyo kwa sasa.

“Nadhani kuna baadhi ya wachezaji wa United sio wazuri. Wako mbali kutoka kwa City na Liverpool. Katika ulinzi wanahitaji msingi bora. Leo (Juzi) walikuwa kila mahala. Walionekana wazi wako ovyo na hiyo inatia wasiwasi kwa siku za baadaye. Wachezaji wote hawa wanajaribu kadiri wanavyoweza, wanajaribu sana. Lakini Herrera afanye kazi yake vema, maamuzi mabovu yanagharimu mechi,” alisema Keane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…