Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4541c72c-9a50-40b2-bb74-9dc1008fb093.jpeg
 
Kwa vile we mdogo wangu ngoja tu niitikie "Marahabaaaaaaa!!!" tena kwa heshima kabisa.

Asante sana kwa salamu....and good news. Nadhani nitapata iPhone kama zawadi Krismasi hii aisee. Nikiipata umekwisha. Hata ukiandika nukta mi nakubishia tu. Umenitesa mno aisee [emoji16][emoji16][emoji16]

iPhone siwezi kukupa, sina historia ya kunyanyaswa na sitaki ku-experience unyanyaswaji!

Labda kwa sharti la kunikabidhi kwa mtekaji wako.
 
Back
Top Bottom