Kweli bro!!na uzi huu uwe na maisha marefu yenye aman na baraka teleUzi huu uko hivyo bro. Ukichoka unapumzika. Ukichoka kuchoka unarudi...na maisha yanaendelea.
Ha ha ha haiPhone siwezi kukupa, sina historia ya kunyanyaswa na sitaki ku-experience unyanyaswaji!
Labda kwa sharti la kunikabidhi kwa mtekaji wako.
Bagesh ya tatu nyongezaHa ha ha hausahau numbisa,ya tatu itabd ulipie sasa