myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
mnaolea nyumbani poleni sana..
Naona post gba amefurah kupita mashabiki ila next target ni yeye
Ha ha ha hausahau numbisa,ya tatu itabd ulipie sasaThank you much ninge,hii ni application ya pili sasa unanipa upo vizuri
Aisee,,safi sana bro,,tulikuwa tunaona uwepo wako kwenye likes,,na majukwaa mengine,,inapendeza kama u mzima na uwe na mapumziko mema huko ulipoNiko off mpaka terehe 5 mwakani. Ni mwendo wa kula likes tu mpaka wakati huo. Katikati hapa ishu za kufunga mwaka zilichanganya balaa japo sikuwasahau na likes mlikuwa mnazipata kila ilipowezekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmeona bro,,safi sanaSema bro. Tena nimeingia kwa mbwembwe kama McMahon [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 971351
Pamoja sana mkuuHuu uzi ni miongoni mwa nyuzi zenye 'traffic' kubwa sana hapa JF.Ni ngumu kuufuta.Huwa wanauunganisha na nyuzi nyingine tuu ...
Kwa vile we mdogo wangu ngoja tu niitikie "Marahabaaaaaaa!!!" tena kwa heshima kabisa.Bro SHIMBA YA BUYENZE nakusalimia!