Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unafikiri kuona hoja halafu ukawa na pointi kinzani zilizoshiba lakini ukaogopa kwa sababu kifaa unachotumia hakikubaliki na mleta hoja siyo mateso?

Mtekaji nitamsalimia. Tena ni mwenyeji wa huko huko uliko. Kaja huko kula Krismasi. Naomba tu asikutane nawe huko. Sikuamini [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha hah

Hayo mateso ya kujitakia wala hata sikuonei huruma.

Kwanza unatutia aibu wana uzi kwa mtekaji! Unaombaje iPhone badala ya Jet ama Boat.?
 
meagangood-20181218-0002.jpeg
 
Back
Top Bottom