Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niko off mpaka terehe 5 mwakani. Ni mwendo wa kula likes tu mpaka wakati huo. Katikati hapa ishu za kufunga mwaka zilichanganya balaa japo sikuwasahau na likes mlikuwa mnazipata kila ilipowezekana
Aisee,,safi sana bro,,tulikuwa tunaona uwepo wako kwenye likes,,na majukwaa mengine,,inapendeza kama u mzima na uwe na mapumziko mema huko ulipo
 
Kwa vile we mdogo wangu ngoja tu niitikie "Marahabaaaaaaa!!!" tena kwa heshima kabisa.

Asante sana kwa salamu....and good news. Nadhani nitapata iPhone kama zawadi Krismasi hii aisee. Nikiipata umekwisha. Hata ukiandika nukta mi nakubishia tu. Umenitesa mno aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…