myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
saaaaafi[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 971498
Furaha.....Mungu mbariki binti wa Afrika [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 971502
Ha hahUnafikiri kuona hoja halafu ukawa na pointi kinzani zilizoshiba lakini ukaogopa kwa sababu kifaa unachotumia hakikubaliki na mleta hoja siyo mateso?
Mtekaji nitamsalimia. Tena ni mwenyeji wa huko huko uliko. Kaja huko kula Krismasi. Naomba tu asikutane nawe huko. Sikuamini [emoji16][emoji16][emoji16]
Father time keshanza kufanya what he does best....
Unaanza pole pole. Unatesti zali kwanza na ukiona mambo yako poa basi unahamia kwenye ka apartment na vinginevyo ohoo !!!Ha hah
Hayo mateso ya kujitakia wala hata sikuonei huruma.
Kwanza unatutia aibu wana uzi kwa mtekaji! Unaombaje iPhone badala ya Jet ama Boat.?
Namkubar huyu dada,,,kuna baadh ya scene kwenye movie zake naweza hata nisimuelewe ila nikapenda nimtizame tuFather time keshanza kufanya what he does best....