Kale nyie maandaeitini hata mjikusanye wote mliomo humu hamkafikii. Kako vizuri sana aisee....Wade mwenyewe ni mdogo sana pale.....Kale na kenyewe kapo vzr,,zaman bhana nilikuwa nasema haka katakuwa kanachezea twenti twenti hv,,,heh kumbe naingia mara mbl [emoji23][emoji23]
Ndiye anashikilia rekodi ya kujitoboa huyu?
Umepotea sana Bro. Habari yako?Ndiye anashikilia rekodi ya kujitoboa huyu?
SijuiNdiye anashikilia rekodi ya kujitoboa huyu?
Nguvu zikiisha huna thamani tena kwa mwajiri...Hata ukiumwa tu....Mtaji wa masikini ni nguvu zake!
Marahaba Consuela. Majukumu tu na heka heka za mwisho wa mwaka. Sasa nipo mpaka tarehe 5 January. Wewe hujambo? ZOPPA wetu hajambo?Umepotea sana Bro. Habari yako?
Mimi sijambo ila ZOPPA sina uhakika. hapatikani kila kona ukikutana naye popote msalimie [emoji16][emoji16]Marahaba Consuela. Majukumu tu na heka heka za mwisho wa mwaka. Sasa nipo mpaka tarehe 5 January. Wewe hujambo? ZOPPA wetu hajambo?
Kweli kabsa,,kapo vzr,,maisha mazuri na gym sana znakafanya kaonekane kabinti,,,Wade marioo pale,kama miaka 10 kamempita,,ila bro umr ni namba tu!!!Kale nyie maandaeitini hata mjikusanye wote mliomo humu hamkafikii. Kako vizuri sana aisee....Wade mwenyewe ni mdogo sana pale.....