Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aliongeza kusema kuwa iwapo wachezaji hao watakuwa kwenye ubora wao na safu ya kiungo wawepo Roberto Firmino na Fabinho, pengine mbinu za Klopp zinaweza kuwafanya waitambie Munich.
Kwa upande wake Klopp, alisema anafurahi kupangiwa timu hiyo kwani anaifahamu vizuri na anaamini atashinda na kulipa kisasi cha kufungwa katika fainali ya michuano hiyo mwaka 2013 wakati huo akiinoa Borussia Dortmund pia ya Ujerumani.