myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
poleni mliotoka kazini..
kweli...Mungu hajawahi kushwindwa kitu
aisee....
maji mengi,,,,
amin.....Kiharusi/Stroke...
Mamiili yetu haya too complicated wallahi. Kamushkeli kidogo tu haooo tunakwenda zetu. TUMSHUKURU MUNGU kwa kila siku Anayotujalia...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
DuhManchester United imemtangaza aliyekuwa mshambuliaji wake wa zamani raia wa Norway, Ole Gunnar Solskjaer kuwa kaimu kocha mkuu wa klabu hiyo kumrithi Jose Mourinho.
Klabu hiyo jana asubuhi ilimfukuza kazi Mourinho baada ya kuiongoza kwa karibu miaka miwili ambapo alianza vizuri lakini baadaye mambo yalibadilika na msimu huu alikuwa katika kipindi kigumu akipata.
[emoji106][emoji106]
Mzee wa kunywa maji mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakunywa maji mengi [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]