Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliongeza kusema kuwa iwapo wachezaji hao watakuwa kwenye ubora wao na safu ya kiungo wawepo Roberto Firmino na Fabinho, pengine mbinu za Klopp zinaweza kuwafanya waitambie Munich.

Kwa upande wake Klopp, alisema anafurahi kupangiwa timu hiyo kwani anaifahamu vizuri na anaamini atashinda na kulipa kisasi cha kufungwa katika fainali ya michuano hiyo mwaka 2013 wakati huo akiinoa Borussia Dortmund pia ya Ujerumani.
 
Mechi za kwanza za hatua hiyo zitachezwa Februari na marudiano yatakuwa Machi, katika mechi hizo Munich itamkosa Thomas Muller katika mechi ya kwanza wakati Liverpool itamkosa Virgil van Djik atakayetumikia adhabu ya kadi ya njano katika mechi zilizopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…