Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni ubishololo tu na nyodo kibao hakuna lolote hawa wamiliki wa iPhones. Halafu mi nawaonaga kama waliodeka deka sana sijui kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kiukweli wengi wapo hvyo,,huwa wanajiona wapo special sana,,na kujiona wapo unique wanaokwenda na muda ila hali sio hvyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan hajakufanyia mpango wa ww kumiliki kitu hcho cha ushuani bro??
 
Kiukweli wengi wapo hvyo,,huwa wanajiona wapo special sana,,na kujiona wapo unique wanaokwenda na muda ila hali sio hvyo

Too much hate sasa imekua,ni machaguzi tu ya simu hayana uhusiano Na mtumiaji.

Me natumia iPhone na sijishaui.

[emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…