myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Loh!!!Tuheshimu Sheria za barabarani. Udereva makini ni kuendesha na gari la mbele na nyuma ya gari lako. View attachment 972533
Kwa wakubwa huko jirani. Nasikia [emoji443]Drake alishajitosa hapo watu wakamlalamikia weee [emoji16][emoji16][emoji16]He!!! Reli ya wapi hiyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magu achiia baba
HATUPOINoma sana
😂😂😂😂😂😂Kwa wakubwa huko jirani. Nasikia [emoji443]Drake alishajitosa hapo watu wakamlalamikia weee [emoji16][emoji16][emoji16]
Drake naye yupo vzr sector hii,,huwa anapita kmya kmyaKwa wakubwa huko jirani. Nasikia [emoji443]Drake alishajitosa hapo watu wakamlalamikia weee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna mmoja hivi aisee mpaka roho iliniuma. Yaani mtoto utafikiri kadondoshwa kutoka mbinguni. Hawa jamaa kwa kweli wanakula maisha...Drake naye yupo vzr sector hii,,huwa anapita kmya kmya
Huyo naye drake alipita nae??Drake hachagui kuna wengine shangaz zake kabsa,,jamaa anapita tuKuna mmoja hivi aisee mpaka roho iliniuma. Yaani mtoto utafikiri kadondoshwa kutoka mbinguni. Hawa jamaa kwa kweli wanakula maisha...