myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hakika!!Ukihisi shida Muombe Mungu atazika mateso
[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine
Bro nafurahi kukuona hapa na kule kwa jukwaa letu la kuipambania Tanzamia yetu
Unakaita?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine
Ulipoteleaga wapi?Shukrani sana Mkuu. Tanzania yetu ni lazima tuipambanie maana ndiyo hii hii moja tu zingekuwa zipo Tanzania nyingi tungesema Intaharamwe wakiiharibu hii tutahamia nyingine.
AsanteNawe pia na njozi njema.
Mi mzima wa afya.Mtaani Mchumba , mzima weye?
Mi mzima wa afya.
Nkajua warembo wa mjini washakufungia behind four walls.