Mashabiki wa Manchester United viroho vinawapwita kwa sasa kwa sababu wamepangiwa Paris Saint-Germain kwenye mtoano huo wa hatua ya 16 bora. Liverpool nayo itakuwa na shughuli pevu mbele ya Bayern Munich huku Tottenham Hotspur ikipangiwa Borussia Dortmund na Manchester City imepewa FC Schalke.
Lakini hiyo siyo stori. Stori ni michuano hiyo itakwenda kushuhudia washambuliaji hatari kwelikweli wakionyeshana ubabe katika kuonyesha nani mkali zaidi ya mwingine.
Lakini hiyo siyo stori. Stori ni michuano hiyo itakwenda kushuhudia washambuliaji hatari kwelikweli wakionyeshana ubabe katika kuonyesha nani mkali zaidi ya mwingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.