mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hivi ni XMASS au CHRISTMAS
Na kwako pia mkuuWakuu, salamu kwenu.
Natumaini ni wazima na shughuli/likizo zinaenda vizuri.Nawatakia siku njema.
Ahsante wa Liver.Na kwako pia mkuu
Hivi ndo naelekea "shitendi" kumpokea, si unajua tena mambo ya "shikukuu" huku Mwakaleli lazima uimpoti "kitu" cha nguvu hadi waifu agome kurudi kwao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 973531
carbamazepine, this is for ya! I miss you, hope all is well with ya! Happy Friday! Mlugaluga wa Tukuyu andjul; pita hivi, wala usitie neno! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Nilifikiri iPhone [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
ASANTE Bradha.Wakuu, salamu kwenu.
Natumaini ni wazima na shughuli/likizo zinaenda vizuri.Nawatakia siku njema.