myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
poleni mlio kwenye daladala..
Milionea huyo. Tena wa paundi [emoji16][emoji16][emoji16]Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Mourinho amepata alichostahili
Hivi ndo naelekea "shitendi" kumpokea, si unajua tena mambo ya "shikukuu" huku Mwakaleli lazima uimpoti "kitu" cha nguvu hadi waifu agome kurudi kwao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani kakifika tu... Hiiiiii... Ni mwendo wa kushika parachichi tu, iwe kwenye migombaaaa sijui kwenye michaiiii achana na kwenye magimbi. Ikifika tarehe 4januariii muombe akutumie lipicha la "siti sikani ili uone bifoo endi afta ya kuonana na mzee wa Tukuyu" ukague yaliyo kuwemo kama bado yamo... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
A Happy day to you brother[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jirani habari yako
Kama mie carba nakula kona kali uwiii ankoooHivi ndo naelekea "shitendi" kumpokea, si unajua tena mambo ya "shikukuu" huku Mwakaleli lazima uimpoti "kitu" cha nguvu hadi waifu agome kurudi kwao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani kakifika tu... Hiiiiii... Ni mwendo wa kushika parachichi tu, iwe kwenye migombaaaa sijui kwenye michaiiii achana na kwenye magimbi. Ikifika tarehe 4januariii muombe akutumie lipicha la "siti sikani ili uone bifoo endi afta ya kuonana na mzee wa Tukuyu" ukague yaliyo kuwemo kama bado yamo... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
A Happy day to you brother[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Waaaoiii woooiii piganeni sikukuu inogeHebu nishikeni nisije nikamparua huyu Mwakaleli! [emoji1][emoji1][emoji1]... Thank you, Bro! Same to you as well! [emoji120]