myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
siku imeshika kasi
au kuliwa pesa..Labda kutapeliwa
duh!! pale sio kabisa kwa sasa..UNAAMBIWA hivi, Jose Mourinho hakutaka kuwa na maisha ya kudumu klabuni Manchester United na ndio maana kwa muda wote aliokuwa akiinoa timu hiyo ya Old Trafford alikuwa akiishi hotelini.
safiiiHabari za ijumaq
Ahsante,ASANTE Bradha.
Na kwako pia na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Jirani habari yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Kasema hivyo kweli?
duh!! hatari sanaKwa maana hiyo, kwa siku 895 Mourinho alizoishi kwenye hoteli hiyo, kila siku alikuwa akilipa Pauni 870, hivyo ni karibu Pauni 779,000 zimemtoka kwenye kugharimia makazi yake tu kwa muda wake aliokuwa kwenye kiti chake cha ukocha kwenye kikosi hicho cha Old Trafford.