Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1545389691892.jpg
 
Mino Raiola alikuwa na mazungumzo na Juventus jana Jumatatu, lakini Manchester United hapo tayari kuuza kiungo wao Paul Pogba.
Imefichukua wakala wa kiungo mahiri wa Manchester United, Paul Pogba, Mino Raiola, yupo katika mazungumzo na Juventus kuhakikisha mchezaji huyo anarudi Turin.
 
Pogba juzi alisafiri hadi jijini Paris, Ufaransa siku moja baada ya kuwekwa benchi Jumapili iliyopita katika mechi ambayo Man United ilicharazwa mabao 3-1 na Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu England.
Kiungo huyo aliungana katika matanuzi na kaka zake pacha Mathias na Florentin pamoja na rafiki yake kipenzi ambaye ni mchezaji mwenzake wa zamani wa Juventus, Paulo Dybala.
 
Kwa sasa Paul anataka kurudi Juventus, ni vigumu kwake kuendelea kubaki Man United kwa sababu haaminiwi tena na kocha Jose Mourinho,” alisema Raiola.
Kiungo huyo kwa muda mrefu amekuwa katika malumbano na Mourinho akishutumiwa kucheza chini ya kiwango na hatima yake ndani ya timu haieleweki, ingawa pia kuna tetesi kuwa kocha huyo atatimuliwa kabla ya Krismas.
 
Back
Top Bottom