Sana Mkuu, tunapata furaha nyumani na ugeniniFuraha hapa tu liverpool anafanya yake simba anafanya yake dah mwaka unaisha vizuri
Ni goli unaloweza kwenda kuombsa chmvi kwa jirani huku uswahilini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji6][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu niko happy sana leo bado natafakari goli la mwamba wa lusaka Chama
[emoji16][emoji16][emoji6][emoji16]tutampa uraia wa Bongo*BREAKING NEWS*
Zambia yatangaza kumfutia uraia C. CHAMA kwa kitendo chake kisicho na huruma wala uzalendo kwa nchi yake.
[emoji120][emoji120][emoji120]Mnyamaaa [emoji1417]
Wifi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]