Hawakuwahi vifanya.Bro,,vitu vya hawa jamaa kina Patrick Mboma na Samuel Etoo,,,vinaweza kufika kwa huyu mkongwe Roger Mila??
Hahahahaahahaha, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umefanya vema kamanda ili tujiandae kisaikolojiaHabari za saa hizi. Kutoka uvungu wa moyo wangu napenda kuwaambia wale wote niliowakosea 2018 kuwa hiyo ilikuwa ni trela tu, movie kamili ni 2019.[emoji2443][emoji2443][emoji41]
Kweli daaaaUnaweza kujipeleka kituoni mwenyewe hata kama huna kosa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 977257
Point nzuri sana,,pia hata utandawaz unawasaidia sana waonekane wanafanya vitu pamoja na mawakala wao wanawakuza sana bila kisahau waarabu walivyovamia kuwekeza kwenye soka,,wanamwaga pesa ovyo ovyoHawakuwahi vifanya.
Wachazaji wa miaka hii wanaongozwa na tamaa. Wanawaza pesa na ubinafsi
Namuona mtekaji hapa!
Wanaona heri wadhambike maana wameshaokolewa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Iti dazinti weki laiki zati. Watakuja kulia na kusaga meno [emoji16][emoji16][emoji16]Wanaona heri wadhambike maana wameshaokolewa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtekaji wako au wangu?Namuona mtekaji hapa!
Ukinyoosha moja kwa moja unatokea homeUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau