Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibu kila kitu huko juu ni duara na kinazunguka kwa kasi. Why?
853503658_68447.jpeg
 
Aisee,kumbe Arigo Sachi kipind hk alikuwa kocha wa Italy,,
Kwakweli pamoja na medali ya Dhahabu waliyochukua Nigeria 1996 ikiwa na akina Kanu, Bababangida,Babayaro,Taribo West nk, Nigeria iling'aa sana mwaka 1994.
Mwaka 1994 ilifuzu kwa kombe la dunia baada kutandaza soka la hali ya juu ikiwa na wasakata soka wenye nidhamu na uzalendo Kama Austin Jay Jay Okocha, Emanuel Amunike, Daniel Amokachi, Finidi George, Samson Siasia, Sunday Oliseh, Beny Iroha, Beki kisiki Uchechukwu 'Uche' Alozie Ukechukwu na mwenzake Stephen Keshi na golkipa mkongwe Peter Rufay. Wakiwa na mpachika mabao matata kabisa wakati huo Rashidi Yekini..
Mwaka 94 Nigeria walianza na fainali za mataifa ya Afrika, wakabeba kombe baada ya kuitandika bao 2-1 Zambia huko Tunisia, kabla haijaenda kwenye Kombe la Dunia Marekani ilikotandaza soka la hali ya juu kabisa.
Kama si uzoefu na umahiri wa kikosi cha Italia chini ya kocha Ariggo Sachi naamini Nigeria ingefanya makubwa
Chini ya kepten mstarabu Sunday Oliseh,,,Nigeria hii haitawah kuja tokea tena ilijaa makinda ambao baadae wakaja kuiteka dunia kwa vipaji vyao vya uhakika kabsa,,
 
Kifuatacho ni kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon kilichoshiriki fainali za kombe la Dunia za mwaka 1990 nchni Italia
Waafrka tunaikumbuka sana timu hii, maana ndiyo timu ya kwanza ya bara la hili kufika hatua ya robo fainali za michuano hiyo mikubwa ya soka.
Ikumbukwe, kiwango kilichoonyeshwa na Cameroon mwaka huo kilitikisa Dunia. Hilo lilipelekea FIFA kufikiria kuiongezea nafasi zaidi Afrika kwenye michuano hiyo. Wachezaji wa Cameroon walikua;-

1.Joseph Antonia Bell.
2.Thomas Nkono.
3.Jacques Song'oo.
4.Roger Feutumba.
5.Thomas Libiih.
6.Emilie Mbouh.
7.Bertin Ebwelle.
8.Andre Kana Biyik.
9.Emmanuel Kunde.
10.Benjamin Massing.
11.Jules Onana.
12. Stephen Tataw.
13. Emmanuel Maboang.
14. Cyrilie Makanaky.
15.Bonaventure Djokep.
16. Eugene Ekeke.
17. Jean Claude Pagal
18.Roger Milla.
19.Fracois Omam Biyik.
20. Louis Paul Mfede.
Kocha ni Valery Nepomniyaschy, raia wa Russia
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
 
Kombe la Dunia 1994 Marekani.
Roger Milla akiwa na Oleg Salenko wa Russia.
Wote wawili waliweka rekodi za kipekee kwenye fainali hizo.
Roger Milla alifunga goli kwenye mechi dhidi ya Russia na hivyo kuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa kufunga goli kwenye kombe la Dunia alikua na miaka 42.
Oleg Salenko aliifungia Russia bao 6 peke yake kwenye mechi hiyo ya mwisho ya kundi B dhidi ya Cameroon. Matokeo yalikua Cameroon 1-6 Russia
FB_IMG_1545747520978.jpeg
 
Back
Top Bottom