myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku wa raha na baraka
Toa kama unavyopewaMbona Siku Hizi Utoaji Wa Likes Na Comment Umepungua Idadi Yake Tofaut Na Mwanzo
LegendRoger Milla akiwa na mwanawe jijini Yaunde CameroonView attachment 977073
Bro,,vitu vya hawa jamaa kina Patrick Mboma na Samuel Etoo,,,vinaweza kufika kwa huyu mkongwe Roger Mila??
Ahsante ziende kwako pia mahondaw Wangu... unapokereka huniambia bila kunificha, changamoto zimekuwepo ila tumekua tunazikabili... umekua mshauri mzuri na mpenzi mzuri kwangu... najivunia kua na wewe siku zote za maisha yetu...