myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Angalia usalama wako na wa watoto..
Washushe na wazee wa Olimpiki,,Nigeria waliobeba kule Atlanta 96,,,nilitizama marudio yake zile fainal,,dah jamaa walipiga mpira mwng sanaKikosi kilichofika robo fainali mwaka 1990 hiki hapaView attachment 976941
Sawa sawaAngalia usalama wako na wa watoto..
Kwakweli pamoja na medali ya Dhahabu waliyochukua Nigeria 1996 ikiwa na akina Kanu, Bababangida,Babayaro,Taribo West nk, Nigeria iling'aa sana mwaka 1994.Washushe na wazee wa Olimpiki,,Nigeria waliobeba kule Atlanta 96,,,nilitizama marudio yake zile fainal,,dah jamaa walipiga mpira mwng sana