Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fifa
FB_IMG_1545725286110.jpeg
 
Hii ni ile wanafuzu robo fainali94
Cameroon walifika robo fainali 1990, Italia, wakiongozwa na mkongwe Roger Milla.
Mwaka 1994 walitolewa hatua za awali.
Mwaka huo wachezaji hawakuwa na morali kwakuwa serikali ya Cameroon haikutekeleza ahadi ya kumpa nyumba ya kisasa kila mchezaji aliyeshiriki fainali za 1990 kama ilivyoahidi.
 
Ok bro,,ntakuwa nimechanganya madesa,,nilisoma sehem kpnd hcho hawa cameroon wanafika huko nilikuwa bado sana,sema kwa kuwa mpira upo kwenye damu ni vzr kujua mambo kama haya

Back
Top Bottom