kama tunataka kuigeuza China inayolima kwa mfumo wa kienyeji kwenda kilimo cha kisasa na viwanda vya uzalishaji, tunahitaji kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuwa na kundi kubwa la wananchi walioelimika kifikra.
unapokuwa na jeshi kubwa lisilokuwa na utamaduni wake wa kimaisha ni sawa na kuwa na kundi kubwa la wapumbavu, na jeshi pumbavu haliwezi kupambana na maadui.