myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
16:40
Ameenpoleni wagonjwa, Mungu awaponye
View attachment 978887
Wsukuma, ndg yenu huyu!
Amen mkuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu aturehemu ...wenye mahitaji ya rehema na awabariki wenye kutaka baraka pia awaneemeshe wenye kutaka neema...awahurumie ..wanaohitaji na kuomba huruma...awaponye wenye uhitaji wa kupona, awafariji na awapumzishe wanao teseka na mizigo...ikiwa ya maradhi..mashaka...mateso..kukosa amani ya nafsi...vita...njaa...dhiki...kufani... ... ...Tuseme Ameen!
Wanaharakati uchwara si wanadai huyu jamaa ni dikteta? Kaikwaaje hii tuzo ya kimataifa?2018 African Of The Year and Chair of the African Union – President of Rwanda Paul Kagame View attachment 978957
source: Forbes Africa