Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Q
FB_IMG_1545906107695.jpeg
 
Kuongoza bimadamu ni kazi ngumu sana..
hasa nchi za huku bara giza....
Kama hujatumia mkono wa chuma ...hufiki mbali... .... ...
Na kiongozi mwenyewe ni wale wale..wametoka mazingira yale yale. lazima aswagwe mtu!
Sisi haya mambo bado sana. Halafu hata wakija wapya mambo ni yale yale or worse. Na hili halishangazi kwa sababu nao ni zao la mifumo, tamaduni, falsafa na amali zile zile. Na bila kwenda deep na kubadili mifumo yetu tukaondokana na haya mambo ya juu juu ya kuletewa na watu wa nje Afrika tutateseka sana. Bara zima yaani utafikiri tumerogwa. Bara tajiri ajabu lakini hakuna la maana linalofanyika. Na hata akitokea mmoja akajaribu basi atapigwa vita sana ndani na nje; na hata kuishia kuondolewa kwa nguvu na hata kuuawa. Inasikitisha !!!
 
Sisi haya mambo bado sana. Halafu hata wakija wapya mambo ni yale yale or worse. Na hili halishangazi kwa sababu nao ni zao la mifumo, tamaduni, falsafa na amali zile zile. Na bila kwenda deep na kubadili mifumo yetu tukaondokana na haya mambo ya juu juu ya kuletewa na watu wa nje Afrika tutateseka sana. Bara zima yaani utafikiri tumerogwa. Bara tajiri ajabu lakini hakuna la maana linalofanyika. Inasikitisha !!!
Ni kweli mkuu...

Wametuweza kwenye elimu....matokeo hatujielewi...na wachache wanao funguka vichwa basi hao ndio inakuwa "wanatuburula" .....
Jengine...walikuwa wema sana kutuuzia dini kwa malipo ya rasilmali zetu na uhuru wetu!
 
Back
Top Bottom