Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

449010980_134581.jpeg
 
Wanaharakati uchwara si wanadai huyu jamaa ni dikteta? Kaikwaaje hii tuzo ya kimataifa?
Kuongoza bimadamu ni kazi ngumu sana..
hasa nchi za huku bara giza....
Kama hujatumia mkono wa chuma ...hufiki mbali... .... ...
Na kiongozi mwenyewe ni wale wale..wametoka mazingira yale yale. lazima aswagwe mtu!
 
Back
Top Bottom