Kwann alikuwa mtu mwema kwako?Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa. Na alikuwa mtu mwema kwangu binafsi.
Aliwahi kunisaidia ishu moja hivi muhimu sana.Kwann alikuwa mtu mwema kwako?
Aisee,hongera sana kupata bahat ya kuwa karbu na gwiji kama huyu ni kitu kizur na kumbukumbu kubwa sanaAliwahi kunisaidia ishu moja hivi muhimu sana.
😂😂😂*Ile Siku nitashinda mega jackpot hapa, nitakua naandika dot mnareply nyinyi wote*[emoji23]sai jifanyeni tu hamnijui...[emoji23][emoji23][emoji23]
aka Shakespeare wa fasihi ya Kiswahili (au pengine Shakespeare ndiye Shaaban Robert wa fasihi ya Kiingereza [emoji16][emoji16][emoji16])...Pure talent yaani tena bila elimu ya kueleweka...Shaban Robert
Sana bro,,hatuna tabia sio ajabu nchi jirani wakawa wanamtunuku sana kuliko hata sisi,,mf.Kenya kwa upande wa Mombasa wanamfahamu vzr Shaban Robart tofaut hata sisi,,tena kama hk kizaz chetu,,ni aibu aiseeaka Shakespeare wa fasihi ya Kiswahili (au pengine Shakespeare ndiye Shaaban Robert wa fasihi ya Kiingereza [emoji16][emoji16][emoji16])...Pure talent yaani tena bila elimu ya kueleweka...
Tungekuwa tuna tabia ya kuenzi vilivyo vyetu huyu jamaa alipaswa kuwa tunu ya taifa; na kusomwa sana mashuleni katika ngazi mbalimbali.