Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Alikuwa mtu simpo sana. Uandishi kwetu bado siyo kitu kinachoweza kumtoa mtu kimaisha kama huko kwa wenzetu ambako kitabu kimoja tu kikiwa ni best seller basi mtu unakula mamilioni ya dola...Aisee,hongera sana kupata bahat ya kuwa karbu na gwiji kama huyu ni kitu kizur na kumbukumbu kubwa sana