Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20181227_202809.jpeg
 
Mmh... magwiji wasio enziwa..
Lakini huyu bwana kilimponza... ... siasa zetu huku za kushoto..
Alikufa dhalili...kwa ulevi uliotokana na msongo wa mawazo...
Mbona kazi zake hazikujihusisha na siasa (moja kwa moja?). Unaweza kueleza mwisho wake ulivyokuwa? Napenda sana kujua historia ya magwiji hawa.

Jamaa alikuwa na uandishi wa kipekee sana.
 
Back
Top Bottom