Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona kazi zake hazikujihusisha na siasa (moja kwa moja?). Unaweza kueleza mwisho wake ulivyokuwa? Napenda sana kujua historia ya magwiji hawa.

Jamaa alikuwa na uandishi wa kipekee sana.
Kazi ni kweli hazikujihusisha...ila yeye binafsi yalimkuta ya kumkuta!
Hakuwa na furaha... ..baada ya sixfour...

Namfahamu.. ..hakuwa mbali na jamii yetu mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…